Yesu anawauliza makutano maana Yao kumfuata. Hii ni baada yake kuwalisha umati mkubwa. Kwa Yesu, umati ule wataka chakula. Kristu atualika tutafute nafasi ya kumuona yeye katika ishara ndani ya Sakramenti za kanisa.
Ishara tosha ya wokovu wetu ipo katika Msalaba mtakatifu. Ishara kamili ya kafara na karamu tosha ipo katika Sakramenti ya Ekaristi.
©Samuel 0708607911
No comments:
Post a Comment