Sala ya komunyo ya kiroho
Yesu wangu, ninasadiki kuwa umo kwelikatika sakramenti tukufu. Ninakupendazaidi ya vitu vyote na ninakutamanikatika roho yangu. Kwa kuwa sasasiwezi kukupokea katika sakramenti, uje ndani ya moyo wangu walau kiroho, ingawa tayari umekwisha kuja kwangu.Ninakukumbatia wewe na uungane nami kabisa, kamwe usiniruhusu mimi nitengane nawe, amina.
No comments:
Post a Comment