LITANIA YA MTAKATIFU ANTONIO WA PADUA
Bwana utuhurumie….Bwana utuhurumie
Kristu utuhurumie…Kristu Utuhurumie
Bwana utuhurumie….Bwana Utuhurumie
Baba wa mbinguni Mungu….Utuhurumie
Mwana Mkombozi wa dunia Mungu…
Roho Mtakatifu Mungu…
Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja…
Maria Mtakatifu…Utuombee
Mtakatifu Antonio wa Padua…Utuombee
Mtakatifu Antonio wa Padua utukufu wa Wafranciscawadogo…
Mtakatifu Antonio wa Padua sanduku la Agano…
Mtakatifu Antonio wa Padua patakatifu pa hekima yaMungu…
Mtakatifu Antonio wa Padua mwangamizi wa ubatili wadunia…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mshindi wa uchafu …
Mtakatifu Antonio wa Padua ,Mfano wa unyenyekevu…
Mtakatifu Antonio wa Padua, mpenzi wa msalaba…
Mtakatifu Antonio wa Padua, Shahidi wa hamu…
Mtakatifu Antonio wa Padua, chanzo cha upendo…
Mtakatifu Antonio wa Padua, mwenye shauku ya upendo…
Mtakatifu Antonio wa Padua, hofu ya makafiri…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mfano wa Ukamilifu…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mtuliza wa wanaoteseka…
Mtakatifu Antonio wa Padua, Mrejesha wa yaliyopotea…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mtetezi wa wakutokuwa nahatia…
Mtakatifu Antonio wa Padua Kimbilio la waliofungwa…
Mtakatifu Antonio wa Padua Kiongozi wa wahaji…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa Afya…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mtenda Miujiza…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa hali kwa bubu…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha hali kwa viziwi…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa Vipofu…
Mtakatifu Antonio wa Padua Mfukuza wa Pepo…
Mtakatifu Antonio wa Padua Anayeombea wafu…
Kutokana na mitego ya Shetani… Utuopoe Mtakatifu Antonio
Dhidi ya radi, ngurumo na dhoruba…Utuopoe MtakatifuAntonio
Dhidi ya maovu yote ya mwili na roho… Utuopoe MtakatifuAntonio
Kwa Maombezi yako…Tulinde Mtakatifu Antonio
Katika Maisha yote…Tulinde Mtakatifu Antonio
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zaduni…Utusamehe ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zadunia…Utusikilize ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zaduni…Utuhurumie
K. Utuombee Mtakatifu Antonio wa Padua
W. Tujaliwe ahadi za Kristu
TUOMBE
Ee Mungu, tunaomba maadhimisho ya Mtakatifu Antonio wa Padua mtumishi wako ipatie kanisa lako furaha ililiimarikie na usaidizi wa kiroho na kupata furaha yamilele, kwa Kristu Bwana wetu. Amina
Imetayarishwa na Shemasi Samuel Muhanji Nyonje ( 0708607911 / nyonjes146@gmail.com )
No comments:
Post a Comment