Wednesday, 8 July 2020

LITANIA YA MTAKATIFU ANTONIO WA PADUA

LITANIA YA MTAKATIFU ANTONIO WA PADUA


Bwana utuhurumie….Bwana utuhurumie

Kristu utuhurumieKristu Utuhurumie

Bwana utuhurumie….Bwana Utuhurumie

Baba wa mbinguni Mungu….Utuhurumie

Mwana Mkombozi wa dunia Mungu

Roho Mtakatifu Mungu

Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja

Maria MtakatifuUtuombee

Mtakatifu Antonio wa Padua…Utuombee

Mtakatifu Antonio wa Padua utukufu wa Wafranciscawadogo

Mtakatifu Antonio wa Padua sanduku la Agano

Mtakatifu Antonio wa Padua patakatifu pa hekima yaMungu

Mtakatifu Antonio wa Padua mwangamizi wa ubatili wadunia

Mtakatifu Antonio wa Padua  Mshindi wa uchafu …

Mtakatifu Antonio wa Padua ,Mfano wa unyenyekevu

Mtakatifu Antonio wa Padua, mpenzi wa msalaba

Mtakatifu Antonio wa Padua, Shahidi wa hamu

Mtakatifu Antonio wa Padua, chanzo cha upendo

Mtakatifu Antonio wa Padua, mwenye shauku ya upendo

Mtakatifu Antonio wa Padua, hofu ya makafiri

Mtakatifu Antonio wa Padua Mfano wa Ukamilifu

Mtakatifu Antonio wa Padua Mtuliza wa wanaoteseka

Mtakatifu Antonio wa Padua, Mrejesha wa yaliyopotea

Mtakatifu Antonio wa Padua Mtetezi wa wakutokuwa nahatia

Mtakatifu Antonio wa Padua  Kimbilio la waliofungwa

Mtakatifu Antonio wa Padua Kiongozi wa wahaji

Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa Afya

Mtakatifu Antonio wa Padua Mtenda Miujiza

Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa hali kwa bubu

Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha hali kwa viziwi

Mtakatifu Antonio wa Padua Mrejesha wa Vipofu

Mtakatifu Antonio wa Padua Mfukuza wa Pepo

Mtakatifu Antonio wa Padua  Anayeombea wafu

Kutokana na mitego ya Shetani… Utuopoe Mtakatifu Antonio

Dhidi ya radingurumo na dhorubaUtuopoe MtakatifuAntonio

Dhidi ya maovu yote ya mwili na roho… Utuopoe MtakatifuAntonio

Kwa Maombezi yakoTulinde Mtakatifu Antonio

Katika Maisha yoteTulinde Mtakatifu Antonio

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zaduniUtusamehe ee Bwana

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zaduniaUtusikilize ee Bwana

Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi zaduniUtuhurumie

K. Utuombee Mtakatifu Antonio wa Padua

W. Tujaliwe ahadi za Kristu

TUOMBE

Ee Mungutunaomba maadhimisho ya Mtakatifu Antonio wa Padua mtumishi wako ipatie kanisa lako furaha ililiimarikie na usaidizi wa kiroho na kupata furaha yamilelekwa Kristu Bwana wetuAmina


Imetayarishwa na Shemasi Samuel Muhanji Nyonje ( 0708607911 / nyonjes146@gmail.com )

No comments:

Post a Comment